https://www.youtube.com/watch?v=T69CmY6Kc5g [adace-ad id="4819"] I Miss You Lyrics by RAYVANNY (Ayolizer) SoundBoy! Hivi bado una hasira, bado unanichukia Bado unakinyongo Moyo wako ulishazira, bado unaninunia Hivi bado una usongo Kusema bora tuachane Ndo kauli inaniuma Kila nikikumbuka 'usitafutane' Sikujua narusha mawe ndege ukapeperuka Tusijuane Nilisema kwa hasira, naona unajuta Usinitukane Namba yangu nyengine usijefuta Sipendi tuchukiane Naugua kila nikikumbuka
https://www.youtube.com/watch?v=rbUTeLPgfuM [adace-ad id="4819"] Gaga Lyrics by CHRISTIAN BELLA Typing